FOSS4G 2018: Dar es salaam

Baada ya kufanyika nchi tofauti duniani, FOSS4G2018 inakuja Tanzania. Hii ni kusema kwamba Africa kwa ujumla tunaungana pamoja kuonyesha na kujadiri kazi za utengenezaji na utumiaji wa reamani katika miji yetu kwa ajiri ya maendeleo endelevu. FOSS4G yenye kirefu chake “Free and Open Source Software for Geographic” ni mfululizo wa makongamano ambayo huandaliwa na OSGEO […]